Vitu gani vya muhimu unatakiwa uwe navyo ili kutuma au kupokea mzigo bandarini?

Vitu gani vya muhimu unatakiwa uwe navyo ili kutuma au kupokea mzigo bandarini?

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
1,012
Reaction score
2,317
Habari,

Kwa wale wazoefu wa kutuma mizigo na kupokea kutoka nje ya nchi kwa njia ya bandari hapa Tanzania, hivi ni vitu gani ambavyo ni vya muhimu mtu anatakiwa awe navyo wakati wa kutuma au kupokea mzigo kutoka nje ya nchi?
 
Mzigo gani haswa? Silaha za kivita? Gari? Au magunia ya tende toka Saudia?
 
Back
Top Bottom