Genius Man JF-Expert Member Joined Apr 7, 2024 Posts 1,012 Reaction score 2,317 Apr 14, 2024 #1 Habari, Kwa wale wazoefu wa kutuma mizigo na kupokea kutoka nje ya nchi kwa njia ya bandari hapa Tanzania, hivi ni vitu gani ambavyo ni vya muhimu mtu anatakiwa awe navyo wakati wa kutuma au kupokea mzigo kutoka nje ya nchi?
Habari, Kwa wale wazoefu wa kutuma mizigo na kupokea kutoka nje ya nchi kwa njia ya bandari hapa Tanzania, hivi ni vitu gani ambavyo ni vya muhimu mtu anatakiwa awe navyo wakati wa kutuma au kupokea mzigo kutoka nje ya nchi?
and 300 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 26,398 Reaction score 36,406 Apr 14, 2024 #2 Mzigo gani haswa? Silaha za kivita? Gari? Au magunia ya tende toka Saudia?
G G Tank JF-Expert Member Joined Feb 9, 2023 Posts 2,297 Reaction score 8,760 Apr 14, 2024 #3 Biashara za watu hizi, clearing and forwading