bway hermit
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 1,379
- 2,392
Ahsant kwa ushaur mkuu,Nenda kwenye nature
32Umri wako
Sawa mkuu,ntaanza kuutumia hivi karibuni.Unaihitaji bacteria rafiki wa tumboni
Anza kunywa mtindi
Na pia kula vyakula vyenye faibaSawa mkuu,ntaanza kuutumia hivi karibuni.
nashkur san kwa ushaur wako, ntaufata.Na pia kula vyakula vyenye faiba
Sio faiba mkonga😂
Namaanisha vyakula kama parachichi, na viazi vitamu
Na pia uji wa ulezi
ahsant sana mkuu, ntafika pharmarcy kuiuliziaKunywa anti acid hiyo gesi itoke..
Situmii na sijawahi tumia kilevi brother.Acha au punguza pombe kali
nmekuelewa sana mkuu, nmelipokea. Ahsante.Usitumie/Usile viporo
Unapokaa muda mrefu bila kula, wakati wa mlo anza na vitu vyepesi (supu, mtori, chai)
Upo sahihi,ushaur mzuriUnaweza kuwa umezunguka hospitals zote sawa lakini mimi nashauri rudi hospital, nenda hospital kubwa omba kumuona Physician.
Hata uende ulaya hutapata suluhisho,mgeukie Mungu,tubu dhambi zako na fuata mafundisho ya Mungu,pia ni vyema ukaenda kwenye kanisa ambalo kuna waombeaji wazuri utapona tu kwa neema zake Mungu...Ni miaka 5 sasa nahis vitu kutembea tumboni, nimezunguka hospital mbalimbali kuhusiana na tatizo tajwa hapo juu lakini majibu ya vipimo yanaonesha nipo sawa hakuna tatizo. Naomba mwenye kufaham tiba ya hili tatizo usisite kuniambia ili nipate pona. Natanguliza shukran.
Olive Oil -Mafuta ya MzeituniNaomba mwenye kufaham tiba ya hili tatizo usisite kuniambia ili nipate pona. Natanguliza shukran.
Ntapata tu suluhisho,asant kwa ushauri wako.Hata uende ulaya hutapata suluhisho,mgeukie Mungu,tubu dhambi zako na fuata mafundisho ya Mungu,pia ni vyema ukaenda kwenye kanisa ambalo kuna waombeaji wazuri utapona tu kwa neema zake Mungu...