bway hermit
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 1,379
- 2,392
- Thread starter
-
- #21
Sawasawa, ntayatafuta hayo mafutaOlive Oil -Mafuta ya Mzeituni
Pharmacy au Supermarket inauzwa 20,000 kwa chupa 1. Kunywa kijiko 1×3
Muda siku 21 hadi 28
Cc: Herbalist Dr MziziMkavu
Je hii ndiyo hufanya mtu kujamba sana?Kunywa anti acid hiyo gesi itoke..
Ni miaka 5 sasa nahis vitu kutembea tumboni, nimezunguka hospital mbalimbali kuhusiana na tatizo tajwa hapo juu lakini majibu ya vipimo yanaonesha nipo sawa hakuna tatizo. Naomba mwenye kufaham tiba ya hili tatizo usisite kuniambia ili nipate pona. Natanguliza shukran.
Hebu tueleze vizuri mkuu.Au mji wa MTUMBA umejengwa tumboni mwako?Nakutania.Pole mkuu.Nenda kwenye nature
Kuna mwenzio aamehangaika sana mwisho ameamua kukaa kimya siku hizi hata simuoniSawasawa, ntayatafuta hayo mafuta
Duh ameona akibali matokeoKuna mwenzio aamehangaika sana mwisho ameamua kukaa kimya siku hizi hata simuoni
🤣 kwahiyo niikatie nyagiMimi nilikatia nyagi kubwa aka faru joni, vyote vikakatika miguu hadi leo sijawahi kusikia vinatembea tena...🤣
Gesi ikijaa tumbo linakuwa kama lina vutu, mleta mada anaweza hisi karogwa ila akinywa anti acid tu geti hiyoo💨Je hii ndiyo hufanya mtu kujamba sana?
umetoa neno kubwa sana mkuu, hakika mwenye kidonda hapaswi kuchoka kufukuza nzi. Ahsante sanaKwenye jambo kama hili unatakiwa utumie mbinu zote za kujitetea.
Nendo hospitali, tumia mitishamba, pata lishe bora, omba Mungu, na ikibidi tumia uchawi au nguvu za giza. Hutakiwa kuogopa wala kusita.
Maisha ni yako na mwili ni wako, na zaidi sana tabu ni zako mwenyewe.
Wanaokushauri hawawezi kuelewa tabu unazopitia, unatakiwa uyachukue mawazo yao na kuyachakata kwa kuangalia muktadha wa mazingira yako.
Do whatever it takes, fight however it costs, and use whatever means necessary.
🙏Gesi ikijaa tumbo linakuwa kama lina vutu, mleta mada anaweza hisi karogwa ila akinywa anti acid tu geti hiyoo💨
Vyakula utaongeza tu tatizo tafuna magnesium zikusaidie🙏
Vyakula gani mbadala vinafaa tofauti na dawa
bas inabid nirud tena kufanya vipimoHiyo ni ulcers
Gas and acids....Ni miaka 5 sasa nahis vitu kutembea tumboni, nimezunguka hospital mbalimbali kuhusiana na tatizo tajwa hapo juu lakini majibu ya vipimo yanaonesha nipo sawa hakuna tatizo. Naomba mwenye kufaham tiba ya hili tatizo usisite kuniambia ili nipate pona. Natanguliza shukran.
Anahitaji maombi tu hapo no way!
Kasema pombe, sio kilevi.Situmii na sijawahi tumia kilevi brother.