Aliyeongea huyo ni yule msiyempenda, Munro, baada ya kupigiwa simu. Sio kweli hiki ulichoandika mkuuJana wakati wa mshikemshike viwanjanI pale AZAM TV watangazaji walianza kutoa statistic hasi za Mussa Mgosi wa simba ilifikia mpaka wakalinganisha Uwezo wake wa kufunga kwamba ni sawa na Uwezo wa Dida wa Yanga.
Hii ni kutokana na idadi ya magoli yao msimu huu.
Kero yangu ni namna watangazaji hawa walivyoonekana kumdhihaki mchezaji huyu kuwa hana kitu na mafanikio pekee aliyoyapata ni Uwezo wa kuzunguka Mara mbilimbili vilabu alivyocheza.
Hivi ni kweli Mgosi hana kingine cha kumzungumzia bila huu upupu kuwekwa mezani ?! NAWASILISHA
Tunaongelea uwezo wake wa Moira kwa sasa sio wa miaka sita iliopitamsimu wa 2009/10 alikua ndiye mfungaji bora ha ligi ya hapa nyumbani
mkuu mbona hilo la kuzunguuka ni kawaida kwa wachezaji na uchawi ndio soka la bongo,linaanzia tff hiloMbona hao wachambuzi wameongea ukweli mtupu...kwa hilo la kuzunguuka vilabu anaongoza..walisahau kutaja sifa yake nyengine kwamba anaamini sana mambo ya ULOZI kwenye soka anapenda sana uchawi michezoni..
Mgosi ni mchezaji ambaye jobo la ufundi la CAF, Shirikisho la soka Afrika lilimteua katika kikosi bora cha CHAN, 2009, Ivory Coast kutokana na uwezo wake mkubwa uwanjani. Uzoefu wake wa miaka 11 katika ligi kuu Bara umeonekana kuisaidia sana timu hiyo msimu huu.
tunajifariji tu BeloHebu amka unamuongelea Mgosi wa 2009 wakati tupo 2016,Baada ya Tambwe kutemwa alisajiriwa Dan Serunkuma akachemsha mkamleta Mgosi ambaye kiwango kimeisha
usisahau ya Jaja mkuuHebu amka unamuongelea Mgosi wa 2009 wakati tupo 2016,Baada ya Tambwe kutemwa alisajiriwa Dan Serunkuma akachemsha mkamleta Mgosi ambaye kiwango kimeisha
heri ya Mgosi kuliko yule Pape Ndaw aliyechukua nafasi ya TambweHebu amka unamuongelea Mgosi wa 2009 wakati tupo 2016,Baada ya Tambwe kutemwa alisajiriwa Dan Serunkuma akachemsha mkamleta Mgosi ambaye kiwango kimeisha
wacha kuwa seripus sana shangilia ubingwa wenu ukitafakari waarabuHebu amka unamuongelea Mgosi wa 2009 wakati tupo 2016,Baada ya Tambwe kutemwa alisajiriwa Dan Serunkuma akachemsha mkamleta Mgosi ambaye kiwango kimeisha
Kwani ni kweli Mgosi amelingana magoli na Barthez?
Waarabu wenyewe safari hii wamefurahi kutopangiwa Yangawacha kuwa seripus sana shangilia ubingwa wenu ukitafakari waarabu