Belo JF-Expert Member Joined Jun 11, 2007 Posts 12,897 Reaction score 10,213 May 24, 2016 #21 Amavubi said: usisahau ya Jaja mkuu Click to expand... Jaja aliwafunga Azam lile goli la dizaini ile hadi leo hakuna striker mwingine amefunga
Amavubi said: usisahau ya Jaja mkuu Click to expand... Jaja aliwafunga Azam lile goli la dizaini ile hadi leo hakuna striker mwingine amefunga
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,258 May 24, 2016 #22 Belo said: Jaja aliwafunga Azam lile goli la dizaini ile hadi leo hakuna striker mwingine amefunga Click to expand... goli kali sana
Belo said: Jaja aliwafunga Azam lile goli la dizaini ile hadi leo hakuna striker mwingine amefunga Click to expand... goli kali sana
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 16,784 Reaction score 23,312 May 24, 2016 #23 tatizo mgosi anaongea sana kuliko kuonyesha uwezo wake uwanjani alipokuwa mtibwa alikuwa anakamia sana simba na yanga ili asajiliwe tena na simba lakini aliposajiliwa ndio basi akabweteka
tatizo mgosi anaongea sana kuliko kuonyesha uwezo wake uwanjani alipokuwa mtibwa alikuwa anakamia sana simba na yanga ili asajiliwe tena na simba lakini aliposajiliwa ndio basi akabweteka
Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,797 Reaction score 28,904 May 24, 2016 #24 Kwahiyo mnataka asifiwe kwa lipi mkuu