maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 2,372
- 3,108
Siasa ya chama kushika hatamu- state party politics in Tanzania. Huoni kama ni safi?Siasa safi ipo??
Wewe unakaa taifa gani?
Tungeondoa siasa hapo na kuweka uwajibikaji ingependeza zaidiWanaJF,
Tunavyoelekea uchaguzi mkuu hebu tujadiliane kwa nini Tanzania hatuna maendeleo.
Hayati baba wa Taifa alisema kuwa ili nchi iendelee inahitani vitu vifuatavyo;
Ardhi
Watu
Siasa safi
Uongozi Bora
Tukijadili kidogo tunaona ardhi tunayo tena yenye rutuba kuliko nchi nyingi Afrika. Watu milioni 61 wapo. Siasa safi ipo sana tu. Tukimalizia na uongozi bora chini ya mama Samia nini tena tumebakiza?
Au kuna ambavyo haviko sawa.
Tujadiliane
Hapo kwenye uongozi bora iwe ni "uongozi unaochukia ufisadi na kujitenga nao na usikumbatie RUSHWA wala UFISADI"Ardhi
Watu
Siasa safi
Uongozi Bora