Vitu muhimu vya kuuza mgahawani ni vipi ili vilete faida?

Vitu muhimu vya kuuza mgahawani ni vipi ili vilete faida?

comesucces

Senior Member
Joined
Feb 21, 2017
Posts
160
Reaction score
105
Hello!
Naombeni msaada kujua vitu muhimu ambavyo unaweza kuuza kwenye mgahawa na vikakuletea faida na vinapendwa na watu ukiachilia mbali na wali,chai na maandazi
 
Hello!
Naombeni msaada kujua vitu muhimu ambavyo unaweza kuuza kwenye mgahawa na vikakuletea faida na vinapendwa na watu ukiachilia mbali na wali,chai na maandazi
Kwenye kudefine Faida hapo ndo huwa kuna shida. Wewe unataka faida ipi make hata pipi zinazo uzwa sh 50 kuna faida that is why kiwanda vipo na havijawahi fungwa.

Sasa unatakiwa ujue unataka faida ipi hasa.
 
Bites bites... Vyepe..kuku..mishkaki na vinywaji laini
 
Back
Top Bottom