Hello!
Naombeni msaada kujua vitu muhimu ambavyo unaweza kuuza kwenye mgahawa na vikakuletea faida na vinapendwa na watu ukiachilia mbali na wali,chai na maandazi

Kwenye kudefine Faida hapo ndo huwa kuna shida. Wewe unataka faida ipi make hata pipi zinazo uzwa sh 50 kuna faida that is why kiwanda vipo na havijawahi fungwa.