hauleibrahim
Senior Member
- May 17, 2024
- 183
- 125
Vifuatavyo ni vitu vya kuzingatia Kwa mtu yeyote anae taka kulima kilimo biashara.
1. Una ardhi yenye ukubwa na yenye rutuba nzuri
2. Upo tayari kufanya kilimo kutoka moyoni mwako yani uvunguni wa moyo?
3. Utapata wapi mbegu za muda mfupi chotara zinazo himili magonjwa na kuota Kwa asilimia mia.
4. Mazingira unayo taka kufanya kilimo yanaendana na mbegu gani chotara.
5. Che inaishi mda gani shambani kabla ya kuvuna na baada ya kuvuna?
6. Mbolea za viwandani na viwatilifu vya viwandani zinapatikana wapi?
7. Gharama za kuhudumia Shamba na Miche ya kilimo cha muda mfupi ikoje?
8. Unavyanzo muhimu shambani vya kuhudumia Miche shambani mwako?
9. Soko lako la mazao linakuwa miezi gani na pia na nila uhakika?
10. Huko shambani kwako usafiri kama gari au Toyo vinafika ili viweze kutoa mazao kiwepesi?
11. Usalama wa mazao yako shambani ukoje?
Hitimisho: Sio kila kinacholipa kina faa kukimbilia kulimwa.ni vizuri kabla ya kulima vitu uvitakavyo jiulize utavimudu vzuri ndani ya uwezo wa fedha yako na juhudi zako hasa kwa walimaji wa mazao ya bustani. Usisahau kilimo kina taka fedha na muda wako ili nacho kikulipe utakavyo.