Vitu Navyovipenda kwenye Mapenzi...

Nawasiwasi mtoa mada hata bwana huna, kwa hiyo hii post ni kujifariji tu
 
Mi nakupenda sana halima kiroboto!
Napenda tuwapo kitandan kisha huniambia tulia!
Na kuanza kunionyesha manjonjo ambayo kila siku naona ni mapya!huishiwa visa kitandani!
Napenda sauti yako kama kinubi cha daudi aliemuua goliath!
Ukiita jina langu la kwanza pale ukitaka nikuangalizie mboga km inaungua huwa najifanya sisikii ili uendelee kuniita!
Hakyanani mtoto unakuna nazi weee.
kila siku nalala na wewe lakini siishi kukuota halima mdebwedo wangu!
Hakika we tunu maridhawa kama chanda.
hakika nusu ya siku nzima huwa nikikuwaza wee tuuu!
Napenda nikipiga simu unapokea kwa wakati na hata nikikutumia salio huwa haubip.napenda nikikupa hela ya shoppin yako basi hunikumbuka hata kwa boxa!
Kweli yule sharifa mtoto wa mzee fatuma hata akija na trilion 1.5 nikuache wee nimuoe yee sitakubali.
Nakupa dedication ya mziki wa NANDI NA ASLAY
LAAZIZ MPENZI WE NDO CHAGUO LANGUUUU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…