Kinyau kinapenda kupendwa balaa. Basi kinadeka mpk kinakera... nna mpango wa kukiwekea sumu
[emoji20][emoji20][emoji20][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji20][emoji20][emoji20]
[emoji15][emoji15][emoji15]Bro mimi ni kaka yako hii ni ID yangu
Marhaba, habari za siku nyingi?Shikamoo jamani mbebez wake mumu
Haya karibubraza nipo hapa...nilikuwa porini, asante sana
Aisee wasilete utani kabisa....tutawavunja miguuHaya karibu
Wazee wa fursa wana taka kutumia mwanya huo kutuibia mumu wetu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aisee wasilete utani kabisa....tutawavunja miguu
kabisa [emoji2][emoji2][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tuta wang'ata maskio
hahaha habari boss Penny!!Shem mzima?!
MIXOLOGIST
Haya sasa Mje huku tuimbe You don't know what is like, to Love Somebody the way I Love You...
HAPPY NEW YEAR SONhahaha habari boss Penny!!
ngoja nije tuimbe wote basi...[emoji3][emoji3]