ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Zamani nilidhani mambo yako simple kumbe ni magumu sana, sikujua uhalisia
1. Kufika South Africa
Zamani tuliamini South Africa ni hapo tu bondeni,
Yaani life likibana hapa Kwa Nyerere ni chap bondeni,
Tulipachukulia ni karibu kiumbali na ni rahisi kufika.
Hadi Leo South Africa naiona kwenye ramani tu
2. Ndoa ni furaha na raha tupo.
Hapo niliwaza vibaya sana kudhani kuwa ndoa itabaki siku za honey moon
Ndoa ni mitihani, kila siku inakupa maswali mapya.
Ni ngumu sio poa, zaidi inahitaji kujitoa sana
3 polisi ni rafiki wa wananchi
Hapa ndo nilikosea sana aisee
Polisi wapo ili kuhakikisha watawala wanatawala kirahisi,
Kubambikia kesi, rushwa na uchafu ulio huko polisi
Nimeamini majuzi polisi ndo adui wa wananchi.
4. Kupata demu chuo.
Sio rahisi hata kidogo,
Pisi zote zinaopolewa na masonko wa nje ya chuo, halafu vijana wengi wanabaki chaputa
5.Biashara ni rahisi
Biashara ni kitu kigumu, inahitaji nidhamu na commitment kubwa sana
Ukiifanya kilegevu inakulipa kilegevu, ukiifanya vizuri Kwa kujitoa itakulipa vizuri
6.kuna watu waliamini CCM na uchawa utawalipa kirahisi
Vijana wamekata bench, wamefagia ofsi za CCM, kimbiza mwenge ila miaka inaenda wanaitwa kutimiza akidi ila teuzi hawalambi Sasa wanakata tamaa
Ongezea
Itaendelea.....