minded tips
JF-Expert Member
- Apr 29, 2018
- 479
- 859
[emoji117]Ukiruhusu mitandao ya kijamii itawale maisha yako na mpaka inafikia hatua ikuamulie jinsi ya kuishi hutaweza kudumu na mwanaume yeyote hata Mungu akuletee malaika[emoji3577]...tunapunguza mapenzi kwa wapenzi wetu hata marafiki wa kawaida kwa kushea mambo ya ajabu ajabu na kuyapost kwa kuona tusiposhea tutaonekana hatuendi na wakati[emoji849]
Baadhi ya watu maarufu wanapost ujinga na sisi tunashea ujinga wao bila kuangalia tunawakwaza watu ambao wanatuheshimu na tunagetegemeana ktk maisha...ni rahisi sana mtu kukudharau wa kushea upumbavu[emoji117]mnajifanya mmechizika mnaenda na wakati[emoji23][emoji23][emoji23]doo[emoji23].NIWAKUMBUSHE TU MUWE MAKINI NA SIO KILA KITU NI CHA KUSHEA