Kwanza habari za kifo cha Prof J ni za uongo hivyo zipuuzeni..Imebidi nifanye masahihisho ya haraka kwenye hiki kifungu cha kwanza Pili nipende mno kumpongeza Mama Samia Suluhu kwa kujitua furushi zito lililomlemea sana tangu alipotwishwa na hao wenye agenda zao. Hatimaye ukweli amekuja kuuona...