NAJIDAKIA STORE
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 261
- 125
Wewe baki kuumiza kichwa huna hela unakaa pembeni mkuu godoro zishabebwa kitambo sana wenzio hawaumizi kichwa wananunuaKitanda 5*6, godoro 4*6.
Makochi used 2, na moja jipya.
Huu mchanganyo unaumiza kichwa.
Wewe baki kuumiza kichwa huna hela unakaa pembeni mkuu godoro zishabebwa kitambo sana wenzio hawaumizi kichwa wananunua
Ni kheri maskini wa pesa kuliko kichwa empty