Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,876
- 2,190
Dar Mkuu nimerekebishaSemaa na uliko mkuu ni muhimu sana
Una hama nchi ?kama mkoa hama na vitu vyako mkuu gharama sana kwenda kununua vingine
Ni mtu mzima anajua anachokifanya.Una hama nchi ?kama mkoa hama na vitu vyako mkuu gharama sana kwenda kununua vingine
hahahaaaa dahhh nmecheka sanaNi mtu mzima anajua anachokifanya.
Uza weka heshima baaahahahaaaa dahhh nmecheka sana
Ni mtu mzima anajua anachokifanya.
Yaani watu wengine ni shida mkuu. Kila kitu kushauri tu!! Yeye kasema anauza. Wewe unakuja kushauri eti beba!!hahahaaaa dahhh nmecheka sana
Sawa mkuu. Nami nilikuwa natoa maoni yangu tuKabisaa ila hajakosea katoa ushauri
Kwahiyo kama anaenda U.S.A baby a.k.a marekani au kwa trump unataka aipakate rice cooker na feni lake kwenye ndegeUna hama nchi ?kama mkoa hama na vitu vyako mkuu gharama sana kwenda kununua vingine
Ulitaka anangalie katuni aukwann unaangalia tbc mkuu?