INAUZWA Vitu vinauzwa

INAUZWA Vitu vinauzwa

roseskyler

Member
Joined
Jan 29, 2019
Posts
7
Reaction score
3
Habari wapendwa !
Kuna Vitu used nauza vimetumika kwa mda Wa miezi mitano
•dressing table
•kitanda cha chuma cha 5 kwa 6
•na TV show case
Mwenye huitaji anicheki pm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipo Kinondoni mkwajuni
20190129_113903.jpeg
20190129_114040.jpeg
20190129_114242.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Picha nishatuma kwenye comment...napatikana Kinondoni atakayehitaji atanifata pm

Sent using Jamii Forums mobile app
You are not serious chief....[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Yaani wewe ni moja wa mfano mzuri sana wa wengi wanao fail hata pale wanapo elekezwa.
Nime aikitika kuona wewe ndie mwenye uhitaji/shida ya kuuza bidhaa zako, then kwasauti kubwa kabisa unasisitiza kwa maandishi kwamba atakae hitaji akufuate PM...[emoji53] [emoji53] [emoji53]
 
Tatizo ukiweka namba sio wote watakaokufata kwa uhitaji Wa kununua vitu ..kila MTU na akili yake wengine wanapenda tu kusumbua wenzao...km kwl mtu unahitaji njoo pm tutapeana namba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom