SHADRACK LUTOBECK
Senior Member
- Sep 29, 2013
- 129
- 18
Tatzo hili limegawanyika ktk makundi mawili,kundi la kwanza kitalaamu huitwa"PRIMARY INFERTILITY".Ni kundi ambalo hujumuisha wanawake ambao hawajawa kubeba mimba yoyote ktk maisha yao.Kundi la pili huitwa"SECONDARY INFERTILITY".Kundi hili hujumuisha wanawake ambao walishabeba mimba wakajifungu,mimba kuharibika n.k.Sababu zinazomfanya mwanamke asishike mimba ni pamoja na(1)kupata maabukizi ktk viungo vya uzazi,(2)kuziba kwa mirija ya uzazi,(3)kutanuka kwa mirija ya uzazi,(4)kukumbwa na magonjwa sugu,(5)kutumia chakula/vipodozi vyenye kemikal,(6)matumi mabaya ya dawa bila kufuata ushauli wa daktari,(7)upasuaji wa mimba nje ya kizazi,(8)pia mwanamke anapopata sikuzake lakini mayai hayapevuki husababisha kutoshika mimba,hii husababishwa na matatzo ktk mfumo wa homoni mwilini,hili linaweza likasababishwa na matumi holela ya dawa za homoni/vipodozi.Nina dawa inayosafisha mirija na kutibu tatzo la kizazi,ni dawa nzurisana, kama ulishahangaika na hujawahi shika mimba,utashika.kama unaitaji dawa no.0759217720