LOVINTAH GYM
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 459
- 653
VITU VINAVYO ATHIRI SUPPLY
1. SUBSIDIES and TAXES
Subsidies ni ruzuku ambazo hutolewa katika uzalishaji wa bidhaa flani, Taxes ni kodi.
Bidhaa ikipewa ruzuku za kutosha na ikaondolewa au kupunguziwa kodi katika uzalishaji wa hio bidhaa basi itazalishwa kwa wingi na kuongeza supply la io bidhaa katika soko husika and vice versa.
Mfano: bidhaa za kilimo
2. TECHNOLOGY
Maendeleo ya teknolojia yatasaidia kupunguza gharama za uzalishaji na kuweka urahisi katika uzalishaji wa bidhaa na kusaidia suppply ya hio bidhaa kuongezeka and vice versa.
Mfano: Utumiaji wa trector unarahisisha kilimo.
3. ONGEZEKO LA BEI YA BIDHAA ZINAZOENDANA
Mfano:
Bei ya nyanya ikipanda itasababisha wakulima kuacha au kupunguza kulima mazao mengine na kukimbilia kulima nyanya, kwahiyo ita athiri supply ya nyanya.
4. GHARAMA ZA UZALISHAJI
Kama gharama zinazotumika katika uzalishaji wa bidhaa ni kubwa automaticall bei itakuwa kubwa na supply ya hio bidhaa itakua ndogo and vice versa.
Mfano: Bei ya ngozi ikipanda automaticall bidhaa zinazozalishwa kutumia ngozi supply yake itashuka.
5. MALENGO YA MUUZAJI
Kuna muuzaji anazalisha kwa wingi sana kwasababu anataka kujitangaza na ajulikane. Especially kama ana economies of scale ina maana anaweza kuzalisha kwa wingi kwa gharama kidogo na hivyo atauza bidhaa zake kwa bei ndogo na atafanya wazalishaji wengine wa bidhaa washindwe ku compete nae na mwishowe anabaki kuwa mzalishaji pekee katika eneo husika.
6. MAJANGA
Mfano: Nchi ikiwa kwenye vita basi ni ngumu kuzalisha mazao na hivyo suppply ya mazao katika hilo eneo inakua ni changamoto.
Mfano:
Mvua ikinyesha kupitiliza basi ita athiri supply ya mazao mengi maana yataoza.
7. USAFIRISHAJI
Mfano:
Wanaouza bidhaa kutoka CHINA, kukiwa na changamoto ya usafirishaji wa bidhaa, labla kuna Tsunami kwahiyo meli haziwezi kusafirisha mizigo kutoka China kuleta Tanzania basi ita athiri supply ya bidhaa.
Ukiamua kutumia Ndege basi gharama za usafiri zitaongezeka kwahiyo supply ya bidhaa itapungua kutokana na gharama kubwa za usafirishaji.
8. BEI YA BIDHAA HUSIKA
Mfano bei ya mahindi ikishuka basi walimaji wengi huamua kuweka mahindi yao stock na kusubiri yakiwa hadimu ndio wayauze and vice versa.
Karibuni sana kuchangia mada.
#determinantsofsupply #supply #uchumi #economics