Vitu vinavyotafuna nchi yetu

Vitu vinavyotafuna nchi yetu

Anti-tozo

Member
Joined
May 23, 2015
Posts
56
Reaction score
56
Kutokuwa na utawala bora hii ni changamoto sana maana viongozi hawawajibiki na yale wayatendayo.

Mipango mibovu kwa mfano sasa ivi CNG ingekuwa nishati ya kutukomboa na kupunguza mzigo kwa nchi kutumia fedha nyingi kuagiza mafuta nje lakini ukiangalia huku na huko haoni mpango wa dharura kwa jambo ili sasa ndipo pale unakaa unajiuliza tunajua kweli tunaelekea wapi?
 
Kama Taifa tumepotea kwa Asilimia 97% kwa sababu ya siasa yetu na tabia za taifa letu ni za kipuuzi sana.
 
Back
Top Bottom