VITU VINAVYOTAMBULISHA UAFRIKA

ZOPPA

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2017
Posts
2,729
Reaction score
2,891
No chill in Africa
VITU VINAVYOTAMBULISHA UAFRIKA
1.kukojoa nyuma ya ukuta
2.mke kulala ukutani
3.ufagio unakaa nyuma ya mlango
4.ukiwa tajiri ni freemason
5.kufulia chupi maji yaliyobaki baada ya kuoga.
6. Mkubwa akijamba anasingiziwa mtoto ndie kajamba. .
7. Mkiwa mnaangalia TV kipindi chochote kile ikifika saa 2 usiku lazima baba aangilie taarifa ya habari kwanza.
8. Viwanja vya watu ambavyo havijajengwa bado ugeuzwa dampo na njia ya mkato. .
9. Kwenye nyumba za kupanga wakina dada upenda kukaa karibu na chooni. .
10. Kifungua kinywa lazima kiwe na chai..

NAWE ONGEZEA YAKO.....
 
wadada wenye maisha magumu ndo wanataka kuolewa na matajiri na watu wenye elimu za juu kumzidi yy
 
11.Single mother wanalazimisha waume wao wapya wawahudumie na kuwalipia ada watoto wao wa kufikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…