Vitu vinavyoweza kuhatarisha afya yako

Daahh mimi nimeshika zaidi hiyo aya yako ya mwisho wa hii content
 
Kuchunguza simu ya mwenza wako ni jambo hatari kwa maisha yako.
 
Daahh mimi nimeshika zaidi hiyo aya yako ya mwisho wa hii content
😂😂😂😂😂😂😂 jiwe amezuia mzungu ni wa hela ana jeopardise afya zetu.
 
Kutosamehe waliokukosea!
Watu wengi wanaumwa sababu mojawapo ni kutosamehe wengine!
Mungu atupe Neema ya kusamehe kwa faida yetu wenyewe ijapokuwa kuna Watu wanakosea wenzao kwa makusudi
 

Vp kuhusu ulaji mwingi wa wanga ambayo ni desturi ya kibongo?
 
Kutosamehe waliokukosea!
Watu wengi wanaumwa sababu mojawapo ni kutosamehe wengine!
Mungu atupe Neema ya kusamehe kwa faida yetu wenyewe ijapokuwa kuna Watu wanakosea wenzao kwa makusudi
Mkuu umesema kweli ila...kusamehe nako ni mtihani... ... kuna watu wanakuumiza kutaka ufe halafu umsamehe .... ..
 
Kuwa na uchungu Moyoni kwa muda mrefu!
Imeandikwa " jua lisichwe ungali na uchungu Moyoni "
Mungu ndiye mfinyazi wa moyo wa mwanadamu, anajua uwezo wa moyo kubeba uchungu ni Masaa 12 kwa Siku kuzidi hapo ni hatari kiafya!
Ni Sawa na mtengeza Mitsubishi fuso akisema uwezo wa Gari kubeba mzigo ni tani 7 mbongo anazidisha anabeba tani 10 anajiona mjanja lakini si ujanja Ujue umenguza life span ya hilo Gari !
 
7.Kupanda/kuendesha bodaboda haijalishi umevaa au haujavaa kofia ngumu
 

Mkuu huwezi kutupungizia hofu kuhusu no 2, 5, 6, Ngono zembe ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…