Vitu vingine ni vya kupotezea si lazima kuhoji

Nimekuta kitu kama hiyo toka kwa X wangu, wala sijajisumbua kuuliza. Nimenyuti kimya.
 
Eeeh unaeza kukuta lilikuwa tusiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kila sikuu hella waombee na mimbaa xaxa 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Utasikia naomba pesa lakini naogopa mimba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mimi nashangaaaa wanapata mimba Sana kulikoo kuwa matajiri hata baada ya kupataa pesaa 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Hawawezi kuwa matajiri kwasababu hawatafuti kwa jasho lao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…