Vitu Vinne ukivianza Kuviacha NGUMU

Dah asante mkuu..unajua nimevuta asubuhi asubuhi halafu nikanyeshewa na mvua ndiyo maana.
Iseee Weee jamaa bado nazitafakari zile hadithi zako za miaka ileeeeeee, enzi zile mwanaume alikuwa rijali bila vumbi la Congo wala bila msaada wa tende shake, Nazi, karanga mbichi na mihogo
 
Vyote hivyo nimefanya na nimefanikiwa kuacha.kasoro ngada huko sitajaribu kabisa
Bangi na yenyewe sijui niache?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…