Vitu vitamu zaidi duniani ni vitatu

Vitu vitamu zaidi duniani ni vitatu

Kurutamjanja

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2013
Posts
396
Reaction score
374
1. KUNYA-Kiukweli unapokuwa unakunya unasahau shida zote za Dunia hii.
2.KULALA-Hakuna atakayebisha wakati usingizi unakuchukua ni utamu na raha kiasi gani unaipata na kusahau shida zote za Dunia.
3.KUKOJOA(+18)-Hapa ndio balaa kabisa hutowaza chochote hata kama una kesi ya mauaji.
 
Kulala siyo kutamu na wala sijwahi kusikia utamu wowote nikiwa nimelala coz hujitambui.
 
ukiwa na njaa halafu kuna menyu la ukwee halafu ulichangamkie
nani ilishawahi kumtokea hii, tamu balaa, unajing'ata midomo
 
Hiyo namba 3 ungekuwa na mgonjwa wa kisonono ungechezea makofi
 
Dah ina maana hakuna anayetaja orgasm. Mnaishi dunia gani nyie.
 
Hapa ndio balaa kabisa[emoji1] [emoji1]
 
Dah ina maana hakuna anayetaja orgasm. Mnaishi dunia gani nyie.
Ndugu yangu mk 254,nadhani umeshakua mdau hapa Tz, mleta mada kaitaja hiyo pale aliposema KUKO.. J. A (+18 YRS)
 
Vipi kuhusu bia? Usiichukulie poa kabisa mwanangu.
 
Back
Top Bottom