Vitu vitano nilivyojifunza kwa kuuza bidhaa moja tu iliyoendesha maisha yangu yote kwa mwaka mzima

Mimi kuna swali nimekua najiuliza dar ina watu milioni 6 kama ntakua na product ya kuuza sh 500 halafu nikaweza kuwafikia wateja 1000 tu kwa siku hiyo ni sh laki tano. Naitafuta hiyo bidhaa
dah kweli mi mwenyewe naiwaza kweli bidhaa kama hiyo maana mtu yeyote anaweza kununua, inabidi iwe inahitajika sana na umuhimu sawasawa na chumvi kwa bei hiyo. Ila so far ni vigumu kuweza kutengeneza bidhaa kama hiyo iweze kuingiza faida hata ya milioni kadhaa kwa siku kwa kuwa inahitaji investment kubwa kutengeneza kusambaza na kadhalika, ndiyo maana masoko kama hayo yameshikwa na kina mo interprises, ukiwa unaanza tu nadhani cha maana ni kufocus kwenye soko dogo, kama hapa nime focus wakimbiaji. msemo mmoja nauonaga sana unasema "if everyone is your customer, then no one is your customer" hii ni kweli for startups ila ukiwa kwenye level za investments za kina bakhresa then ndipo utaweza kumfikia kila mtu.
 
mkuu salute kwako mm.naulizia ukishaagiza mzigo kutoka china kwa mfano vp kodi wanakataje? mfano nimeagiza bidhaa 5 kila bidhaa ni shilingi 10000 jee watakata kodi kiac gan kila bidhaa?
bidhaa za bei ndogo kama hizo hazikatwi kodi kawaida, ukitumia njia za shipping za post office. DHL utakatwa kodi. nimeandika PDF nzima ya bure yenye njia za shipping zote ambazo utapata mzigo kupitia posta, PDF unaweza download bure hapa biashara kwa mtandao introduction
 
kwa uzoefu wako mkuu wa kuagiza bidhaa kama saa ukishalipa na shipping cost huwa inachukua muda gani nataka kuagiza mm ctak free shiping nataka kulipa hyo shping cost sasa je inachukua muda gani kuwasili?
 
DHL kutoka order-shipping-kufika-kuupata mzigo 1 week. DHL mzigo ukifika tu upe masaa 24 then nenda pale uone wamekuwekea bei gani, pale kwenye kodi ndipo mizigo inakaa mda mrefu. thats the fastest way.
 
Dhl tatizo lao kodi tu isingekuwa hivo watu wangekuwa wananunua sana nje
 
Haka kamchezo hakahitaji hasira....
Kanahitaji upole ehh??
DHL kutoka order-shipping-kufika-kuupata mzigo 1 week. DHL mzigo ukifika tu upe masaa 24 then nenda pale uone wamekuwekea bei gani, pale kwenye kodi ndipo mizigo inakaa mda mrefu. thats the fastest way.
Aisee kumbe nawe una advertise apa apa biashara yako me nilijua uko pdf ntafungua tu[emoji19]
 
DHL kutoka order-shipping-kufika-kuupata mzigo 1 week. DHL mzigo ukifika tu upe masaa 24 then nenda pale uone wamekuwekea bei gani, pale kwenye kodi ndipo mizigo inakaa mda mrefu. thats the fastest way.
vp nikilipia shipping cost kwa mashirika km haya ya posta mpk mzigo niupate mkononi ni muda gan kwa uzoefu wako?
 
vp nikilipia shipping cost kwa mashirika km haya ya posta mpk mzigo niupate mkononi ni muda gan kwa uzoefu wako?

shipping za posta zinategemea na mambo mengi sana, kwa uzoefu wangu singapore post ndo inawahi, 2 weeks mzigounafika toka utumwe. nimeelezea shipping za posta zote kwenye pdf pia.
 
Link mbona ukifungua inakuja kitu tofauti
 
Una spirit of winning...sasa na mimi hapa najiuliza nafanya nini hapa mbeya ...the same formula but niwe flexible kdg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…