Vitu viwili vitakavyo kusaidia kutimiza malengo malengo yako

Vitu viwili vitakavyo kusaidia kutimiza malengo malengo yako

Kijana Jr

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Posts
560
Reaction score
845
habari ndugu zangu
chukua dakika chache kumshukuru Mungu kwa wema na Fadhila zake juu yetu.katika maisha ya mwanadamu kuna vipindi fulani ambavyo kama wanadamu tunapitia, kuna vipindi vingine vinakuwa vigumu sana kiasi ambacho tunatamani hata kujiondoa hapa duniania hii haimaanishi kuwa Mungu ametuacha wala haimanishi kwamba tulizaliwa kwa bahati mbaya,Rafiki najua unapitia kipindi kigumu sana maishani mwako napenda kukwambia jambo moja usikate tamaa kiwango cha changamoto unachopitia nikutokana na ukubwa wa kusudi ambalo Mungu aliliweka ndani yako . Nyanyuka usikate tamaaa

RAFIKI VITU 2 UNAVYOTAKIWA KUWA NAVYO ILI KUFIKIA MALENGO

1 KUWA JASIRI
Kila kitu unachofanya kimetawaliwa na hatari , hofu na matatizo mbalimbali unachotakiwa Ni kuwa jasiri kutimiza malengo yako ,ulishawai kuwazia uvuvi hatari iliyopo majini , ulishawai kuwazia udaktari hatari iliyopo katika upasuaji , ulishawai kuwazia uchezaji mpira hatari iliyompo uwanjani basi tambua kitu chochote hapa duniani kinahitaji ujasiri

2 KUWA NA UWEZO
Jambo la pili ni kuwa na uwezo
kuwa na uwezo wa kufanya kitu mfano ninataka kuwa na mafanikio kwenye biashara Ni lazima nijenge uwezo wa kuwa mfanyabiasha Jambo lolote unalotaka kutenda lazima kuwe na uwezo

nakutakia mafanikio mema
usikate tamaaa
 
Back
Top Bottom