Maya Angelou
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 1,086
- 2,576
Being in love is the best feeling everš„°
Kuna ki feeling flani kizuri sana ukipendwa unapo penda,najua wengi tumeshawahi pitia hii hali either kwa mahusiano ya zamani au tilionayo kwa sasa.
Kuna wengine wanaamini hii hali huwa ni mwanzoni tu ila mkizoeana linaisha[emoji3]Kuna wengine huwa mambo hayaishi penzi moto moto lipo pale pale ukitoa vile vipindi vya kupishana hapa na pale hivyo haviepukiki.
Leo natimiza siku ya 12 toka nianze challenge ya kuappreciate mambo mazuri kutoka kwa mpenzi wangu,yaani nimejipa siku 90 ambazo sitoongea chochote kibaya au kulalamika kumuhusu[emoji3].Hii ni baada ya kuwa kero kwa mwenzangu ulalamishi,uwivu na amekuwa concerned sana mpaka imebidi nijichunguze upya hivi vitabia.
Siku ya 12 kwenye diary nikawa na list vitu vyote ambavyo amekuwa akinifanyia na sikuwa naviona.
Labda kuna wakati tunasahau kuona vitu vidogo vidogo kutoka kwa wenza wetu tunavichukulia poa meanwhile huko nje kuna watu wengi wanatamani wapate hata mtu wa kuwafanyia nusu ya hivyo
Ikanikumbusha mara nyingi tukitoka huwa ananitreat vizuri mpaka kama kuna majirani lazima wageuke
Kwanza mchangamfu hapendi mtu anaenuna ni ngumu kuwa bored ukiwa nae lazima utacheka,atakufungulia mlango,atakulisha,atakubembeleza(akiwa na muda),atakubebea pochi proudly,kiufupi kila kinacho wezekana ndani ya uwezo wake kitakacho kupa furaha anajitahidi kukifanya.
Nimesikitika siku zote sijawahi kusema asante ni kama niliona ni haki yangu kufanyiwa yote hayo mpaka leo nilipo jitafakari.
Ni vitu gani vizuri mwenza/mpenzi wako anakufanyia labda hujawahi kumshukuru,tushirikishe labda inawezekana na sisi wengine tutajifunza
Ukipata muda mshukuru pia inajenga upendo zaidi[emoji4]