Vitu vya kuepuka chuoni

Vitu vya kuepuka chuoni

Epuka makalai, haya hata yakitumika kukupikia chipsi kwa miaka mitatu utaishia kuwa na afya dhaifu mno.
 
Una moto kijana ila ni vizuri machache nayoweza kukushauri ni kama ifuatavyo
Jitahidi usiwemjuaji kuzidi lecturer,Pambana usipate C hata B zinashusha G.P.A ,Jifunze kutumia hela vizuri maisha tunatofautiana kuna mtu anategemea boom tu kuishi wakati mwingine ana boom,Hela ya mjomba ,baba,kaka n.k ,Tambua kusudi lililokuleta chuo kama msingi wako wa kufanya yote .

ni hayo tu kwa uchache mengine angalia profile yangu hapo Ni key aspect
 
Back
Top Bottom