Kimbesa11 JF-Expert Member Joined Sep 6, 2015 Posts 4,648 Reaction score 2,706 Aug 2, 2025 #1 Ukitaka kujipakia rangi kwenye nyumba yako fanya hivi 1. Nunua rangi ya maji lita 10 2. Nunua roll za kupakia rangi 3. Andaa mtu wa kuchanganyia rangi. 4. Nunua color bank zinauzwa buku Endelea kujaza ili tupeane ujuzi
Ukitaka kujipakia rangi kwenye nyumba yako fanya hivi 1. Nunua rangi ya maji lita 10 2. Nunua roll za kupakia rangi 3. Andaa mtu wa kuchanganyia rangi. 4. Nunua color bank zinauzwa buku Endelea kujaza ili tupeane ujuzi
Bunda Kwet JF-Expert Member Joined Feb 24, 2025 Posts 274 Reaction score 392 Aug 2, 2025 #2 Unapaka rangi bila skiming?
Brian Spilner JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 2,246 Reaction score 6,499 Aug 2, 2025 #3 Nilidhani wewe ndo umekuja kutusanua sisi, on how to do it.
M mbu wa dengue JF-Expert Member Joined Jun 2, 2014 Posts 10,487 Reaction score 14,559 Aug 2, 2025 #4 Brian Spilner said: Nilidhani wewe ndo umekuja kutusanua sisi, on how to do it. Click to expand... Kumbe hata yeye hajui. Halafu ametaja ununue lita 10 ya rangi lakini hajasema hiyo rangi itatoshea kwenye nyumba ya ukubwa gani
Brian Spilner said: Nilidhani wewe ndo umekuja kutusanua sisi, on how to do it. Click to expand... Kumbe hata yeye hajui. Halafu ametaja ununue lita 10 ya rangi lakini hajasema hiyo rangi itatoshea kwenye nyumba ya ukubwa gani