Vitu vya kuzingatia ili kuwa na afya na kuishi miaka mingi

Hii nayo ni chai

Maisha ya Kila mtu yapo programmed

Huwezi kurefusha labda ufupishe
Watu wanaogopa sana kufa kwasababu ya dhambi walizonazo matokeo yake wanatafuta sababu kurefusha maisha lakini bado kifo kipo palepale!
 
Miaka tuliyopewa ni 70, 80 ikiwa tuna nguvu, wanaozidi bonus ya zaidi ya miaka 80 ni kwa neema ya Mungu tu. Zaburi 90:10.
Ukipata nafasi soma Zaburi ya 90 yote.....
 
Iyo namba moja ndio inayotumika ulaya...


Huku kwetu tunaletewa ngano grade F huko
 
11. Usijihusishe na vitendo vyovyote vya kihalifu kama vile Ujambazi, uzaaji wa dawa za kulevya na wizi.
utaishi miaka mingi tena kwa amani na utulivu wa moyo.
 
Uhai ni tunu unayopewa.. you don't earn it you didn't get it for a certain favor.
Aliekupa uhai ndio anaweza kukuamulia uishi muda gani. Usiniambie kua wazungu wanaishi muda huo kwakua wanahuduma bora ya afya
Kwa jibu hili tu mjadala na wewe kuhusu hii mada ninaufunga rasmi.
Have a nice day!
 
Ahsante kwa muongoz... Ila kila nafsi itaonja umauti...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…