Vitu vya kuzingatia katika maisha

Vitu vya kuzingatia katika maisha

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
915
Reaction score
1,082
VITU VYA KUZINGATIA KATIKA MAISHA

MAISHA YANA VITU 7;

1:- Furaha.

2:- Karaha.

3:- Misukosuko.

4:- Majonzi.

5:- Migogoro.

6:- Mikasa.

7:- Chuki.


Haya yote husababishwa na viumbe hai kama mimi na wewe, ili kuyashinda haya yakupasa uwe na mambo 4.


1:- Subira.

2:- Uelewa.

3:- Uvumilivu.

4:- Msamaha.


Lakini katika maisha yako pendelea sana kuwa na mambo 4.


1:- Msimamo.

2:- Mkweli.

3:- Ujasiri.

4:- Imani.


Ila epuka sana mambo 5.


1:- Udanganyifu.

2:- Uchoyo.

3:- Ubinafsi.

4:- Wizi.

5:- Kufitinisha.


Kumbuka kumjali anaekujali hata kama yupo mbali nawe.

Mpende anaekupenda hata kama hana kitu jali utu kuliko kitu.

Ibada kwa Imani yako ndio Nuru yako Duniani na Mbinguni

Prepared by danny mngete
 
Kushindwa kuyaishi hayo yote uliyoyaandika ndio maana halisi ya binadamu, hayo tuwaachie malaika mkuu.
 
Back
Top Bottom