BOFREE
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 1,048
- 1,424
napenda kuwakumbusha mambo muhimu ya kuzingatia unapoomba nafasi secretariati ya ajira katika utumishi wa umma
1. hakikisha unatoa copy ya vyeti ikiwemo cha kuzaliwa, sekondari na talaluma na kuweka muhuri wa kuverify kwa wakili, mwanasheria au mahakama
2. unapoandika barua ya maombi hakikikisha unaweka saini yako iwe umeandika kwa mkono au umeandika kwa computer
3. hakikisha unaweka profile picha yenye ubora usizidi 500kb na resolution ya 300 x 300
mwisho hayo mambo matatu ni muhimu likikosekana moja tu huwezi itwa kwenye usahili ninauzoefu wa kutosha nimefanya sahili za utumishi nyingi sana hayo ni muhimu zingatieni msije mkajilaumu badae na pia kama unavyeti viwili diploma na degree ukiambatanisha cha degree huwezi omba nafasi za diploma .