Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Vitu 10 vya kuzingatia ukitaka kuanzisha ghetto lako
SIMPLE GHETTO KWA MARA YA KWANZA wigos[emoji16]
1.Akikisha una kazi ambayo itakupa hela ya kodi.
2.Panga chumba cha bei ndogo lipa kodi ya miezi mi 3.
Usikubali kutoa kod ya mwez 1, m1 maana ndo unaanza maisha.
4.nunua godoro 3.5×6 bei hua haivuki laki la kuanzia.
5.Nunua gas na vyombo vichache tu.
6.nunua mchele kilo 10 na mafuta.
7.nunua pazia... shuka.
8.nunua jaba kubwa na ndoo mbili.
9.kama utakua na balance nunua ka divaisi izi redi tupea[emoji23].
10. USIKIMBILIE KUOA Maana ndo unaanza life bado hujapata experience ya maisha
KUMBUKA BORA KULALA NJAA UKO GHETTONI KWAKO kuliko kutukanwa nyumbani ambapo kosa kafanya mdogo wako wa mwsho[emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app