Kuku wa Kabanga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2009 Posts 807 Reaction score 368 Dec 4, 2012 #1 Habari wakuu Naomba tujuzane katika hili,ni vitu gani navyotakiwa kutazama/kuzingatia kabla sijaamua kupanua biashara yangu,mfano kufungua tawi jingine? Karibuni. Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Habari wakuu Naomba tujuzane katika hili,ni vitu gani navyotakiwa kutazama/kuzingatia kabla sijaamua kupanua biashara yangu,mfano kufungua tawi jingine? Karibuni. Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums