Vitu vya ndani vinauzwa Mwanza

ccf

Senior Member
Joined
Apr 29, 2014
Posts
125
Reaction score
68
Huyu mtu anahama Mwanza hivyo anauza vitu vifuatavyo. vitu vyote ni almost vipya so anataka kuona kama anaweza kuviuza ili akanunue vingine huko aendako.
1. bed na godoro vyote 6*6
2. zec flat tv 29''
3. home thietre music system lg 1100w
4.startimes 50,000
etc.
kwa aliye serious na anajua thamani ya hivyo vitu anaweza bid then tutaongea.karibu sana.
 

Mm pia nipo Mwanza. ni PM tufanye biashara. au nicheki 0784 821973
 

bei ya hizo products
 
cha musingi weka bei na sio kuanza kutuwekea namba yako ya simu hapa eti tutaongea. Ukiona biashara inatangazwa bila kuweka bei tayari huwa tafsri yake ni utapeli au ubabaishaji huo
 
Nikuone wapi? Nahitaji kuviona


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
cha musingi weka bei na sio kuanza kutuwekea namba yako ya simu hapa eti tutaongea. Ukiona biashara inatangazwa bila kuweka bei tayari huwa tafsri yake ni utapeli au ubabaishaji huo

Sidhani kama uko sahihi hata kdg
 
cha musingi weka bei na sio kuanza kutuwekea namba yako ya simu hapa eti tutaongea. Ukiona biashara inatangazwa bila kuweka bei tayari huwa tafsri yake ni utapeli au ubabaishaji huo

sio utapeli mkuu...wakati mwingine kumtajia mtu bei kabla hajaona mzigo unaweza mpoteza kirahisi. kama unahitaji kuona niambie nikupm namba yangu
 
Ni kweli nahitaji mkuu japo ni mhimu kuelewa bei ili niangalie kama ninaweza kumudu kwa bajeti yangu kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…