vn_warehouse
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 648
- 854
Nguo za Bei ngapi zinakaa humo?
Mkuu uko sahihi,mzunguko wa pesa mwisho wa huwa unakuwa mgumu sana........wadau fungeni mkanda usije kuuza kitu cha milioni kwa laki mbili , kesho utajiraumu sana
Sahihi mkuuRahisi sana mkuu sema Niko mbali na Dar ningebeba vyote hivyo mpaka kitanda
Kwann mkuuDah umenikumbusha mbali sana.