Vitu vya ndani vinauzwa

Vitu vya ndani vinauzwa

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
21,329
Reaction score
28,063
1.Sofa kali mpya=650,000(Haijatumika)
2.Home theatre LG=350,000
3.Meza ya jiko ya kupikia plate 2 =300000 (Haijatumika)
4.Coffee table=60000(Hijatumika)
Sababu anahama kwenda mkoa mwingine.
Vitu vipo Arusha.
20240327_161215.jpg

View attachment 2976172
View attachment 2976173

NB,picha ya meza ya jiko inakuja itawekwa
 
Kwa bei zako hizo kwanini mtu asiende kununua vitu vitu vipya Tu dukani maana pengine bei yako ipo juu au haitofautiani Sana na ya dukani
 
jko kam n la gesi aloooh bora niende dukan sio kwa bei hio,,we dalali vip bwan
 
Kwa bei zako hizo kwanini mtu asiende kununua vitu vitu vipya Tu dukani maana pengine bei yako ipo juu au haitofautiani Sana na ya dukani
Mkuu umesoma vizuri bandiko? Vitu ni vipya,vimenunuliwa havijatumika bahati nzuri mhusika kapata deal zuri mbali,so anaenda huko
 
Back
Top Bottom