😅Hiyo simu pamoja na juice ni shilingi ngapi mkuu?
1.Sofa kali mpya=650,000(Haijatumika)
2.Home theatre LG=350,000
3.Meza ya jiko ya kupikia plate 2 =300000 (Haijatumika)
4.Coffee table=60000(Hijatumika)
Sababu anahama kwenda mkoa mwingine.
Vitu vipo Arusha.View attachment 2976171
View attachment 2976172
View attachment 2976173
NB,picha ya meza ya jiko inakuja itawekwa
😃😃Ukisema havijatumika una maana gani?
Mkuu umesoma vizuri bandiko? Vitu ni vipya,vimenunuliwa havijatumika bahati nzuri mhusika kapata deal zuri mbali,so anaenda hukoKwa bei zako hizo kwanini mtu asiende kununua vitu vitu vipya Tu dukani maana pengine bei yako ipo juu au haitofautiani Sana na ya dukani
AnhaaSio jiko,ni meza ya kuweka jiko completel yani plate 2,mtungi na sehemu za kuweka vyombo