[emoji23]jamaa ni haki auze fridge hiyo,anaifanya kama mtungi!!!!,toka lini fridge iwekwe kikombe cha maji
Kuna mtu anahama yupo Kahama, maeneo ya Nyahanga anauza friji,
Godoro,
Jiko la gesi,
Viti plastiki,
Viti vya kiofisi,
Meza za kiofisi,
Meza za mbao,
Vyombo pamoja na mapazia.
Maongezi kwa mwenye uhitaji yanakaribishwa. Bosi ana haraka. Kama ni Dalali mlete mtu wako, KAMPA KAMPA TENA kwa LUPASO.
Nicheki 0678275619 au 0620275619.
N.B: Picha zaidi zinakuja.
View attachment 2041130View attachment 2041131