Jelamashele
Senior Member
- Nov 12, 2022
- 120
- 53
Naona kuna dhana kuwa promotion ni fadhila au ziada. Sio kweli. Promotion ni mbinu za kuokoa hasara na pia kulazimisha kuweka hela kibindoni katik muda Fulani. Huku ukimlazismisha mteja kujipanga na kuruhusu hela yake iwe Kati mauzo ya mtoa huduma bila kurudishwa. Ni mkataba wa huduma au bidhaa kwa bei chee Ila ukiingia hela yako inakuwa halali kwa mtoa huduma bila kujali utatumia huduma au bidhaa au utaacha iaharibike katik muda.
Iwe bia ,iwe blue and,iwe vifurushi vya simu au internet.
Kuweka hela kifurushi cha kawaida na usitume haina faida kwa mtoa huduma za simu na hamhakikishii mauzo.
Kununua hia ya promotion huwezi iweka akiba kama haitafunguliwa ili usiende kuuza bado itakuwa haina muda mrefu wa kuishi.
Mitandao ya simu ikiuza kifurushi na wasipohadaa watu watumie Vinayak au uwaibia vifurushi walivyo wauzia hawatakuwa.na kosa. Ila kuna mara vinaisha kwa namna ya kutoa mashaka. Unakuta mtu anajua sana vitu vya msingi kuhusu matumizi ya data. Na wapi zinaweza kwenda Ila mambo sio.
Bahati vifurushi vingi vinakuachia speed na hivyo ukipenda basi na kuishia ni haraka. Hii sio ziada. Ni mkataba. Na kutumia kutoa hesabu yako ni kutumia bila mkataba.
Watu waqche upotoshaji hapa. Ziada ni zile bonus....hata offer nazo ni vifurushi vya punguzo na vya muda mfupo. Sio product ya kudumu.