JGimbuya
Member
- Dec 30, 2021
- 16
- 15
Vitu vya salon ya kiume vinauzwa viko Goba kwa moga
1.Kiti cha kunyolea 220,000
2.sink la kuoshea 200,000
3.vioo viwili kila kimoja 40,000
4.mashine za charge moja 45,000 na mashine ya waya 20,000 pamoja ya kuchongea 10,000
5.kochi 60,000
Mabechi mawili ya wateja kusubiria 100,000
6.kiti cha scrub bado kipya kabisa 80,000
7.Sterilizer 25,000
8.mlango wa aluminum 350,000
9.feni 2 za juu kila moja 45,000
Salon iko complete unaweza kuchukua salon nzima na kuaanza kazi nauza kwa sababu changamoto ya usimamizi