INAUZWA Vitu vya salon ya kiume vinauzwa kwa bei rahisi

JGimbuya

Member
Joined
Dec 30, 2021
Posts
16
Reaction score
15
Vitu vya salon ya kiume vinauzwa viko Goba kwa moga
1.Kiti cha kunyolea 220,000
2.sink la kuoshea 200,000
3.vioo viwili kila kimoja 40,000
4.mashine za charge moja 45,000 na mashine ya waya 20,000 pamoja ya kuchongea 10,000
5.kochi 60,000
Mabechi mawili ya wateja kusubiria 100,000
6.kiti cha scrub bado kipya kabisa 80,000
7.Sterilizer 25,000
8.mlango wa aluminum 350,000
9.feni 2 za juu kila moja 45,000

Salon iko complete unaweza kuchukua salon nzima na kuaanza kazi nauza kwa sababu changamoto ya usimamizi
 

Attachments

  • IMG-20240410-WA0177.jpg
    19.4 KB · Views: 12
  • IMG-20240409-WA0119.jpg
    94.6 KB · Views: 13
  • IMG-20240409-WA0120.jpg
    63 KB · Views: 14
No ya simu 0768370986
 
Vipi kuhusu mzunguko wa wateja, ushindani wa kibiashara, gharama zingine muhimu za uendeshaji wa biashara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…