Vitu wanavyofanya sasa Pele alivifanya miaka 50 iliyopita, RIP Legend

Na huyu ni Pele Mzee akiwa na miaka 50.... Si Haba....

 
Pessi fans will still deny it
 
Aiseee,huyu mwamba sijui itatokea muda gani mpaka apatikane kama yeye!
Hata akipatikana haitakuwa sawa..., Moja alishiriki katika kufanya Soccer iwe Beautiful Game (yaani Pioneer); Pili alifanya hayo katika kipindi kigumu.....

Ndio maana hata akija leo mpiga Reggae mzuri kuliko Bob Marley bado Bob atakuwa legend...

Pia alikuwa humble tofauti labda na wengine kwa utukutu wao mfano Maradona hakufanya makubwa Barcelona ingawa alifanya makubwa zaidi Napoli ila ubishi wake unaweza kuwa kikwazo; Au kina Tevez, Dicanio au Robinho utukutu wao huenda hawakufika mbali zaidi.... Au mwisho kabisa Daktari wa kweli (Doctor of Medicine, Mwanasiasa / Socialist) Mtaalamu Socrates kwa ulevi wake ubishi n.k. ulimfanya team nyingi za ulaya zisimuelewe...., Au Garrincha mchawi wa chenga kwa kupenda kwake mademu, ulabu na sigara ulisitisha career yake...

Binafsi ninapenda kuangalia talent zote na ukifuatilia sana kuna a good story kwa hawa watu wote..., wala haiitaji kumshusha mwingine ili wako aonekane zaidi ni ku-enjoy wote.... Ndio maana napenda machungwa, mapera na hata mafenesi bila kujali tunda gani ni zaidi, huenda ukaona limao halifai na ndizi ndio yenyewe lakini ikija kachumbari huwezi kutumia ndizi yako....

Ila tunda lililoweza kustawi hata pasipo mazingira bora lazima tu-appreciate (against all odds)
 
Mesi ni zaidi ya Pele.

Sema Pele atabaki kuwa Legend wa MIAKA Yoote.

Ila kiukweli Mesi ni Bora kuliko Pele.
 
Kila mmoja na nyakati zake kuna isack Newton 1600s na kuna Albert Einstein 1900s , wote walifanya kitu kulingana na technology iliyokuwepo , tunashukru Pele Kwa kazi nzuri aliyoifanya Ila sio mwisho, tayari Messi amefanya vyote alivyofanya Pele and he is still going on
 
Sipingi Uzuri wa Messi ila Napinga sentensi kama hizi za kwenye Gahawa....

Mechi 14 World Cup Tatu (acha tu kuwa na world cup tatu yaani mechi 14......., kwa kuangalia kivingine Pele hajawahi kushindwa mechi ya Kombe la Dunia akiwa amecheza dakika zote)

Figisu zilitumika kumfanya asicheze..., Na karne hii washukuru sana mtu unaweza kucheza mechi zaidi sababu hawa stars wa sasa wapo protected kama endangered species... (It the best of times to become a stricker)

Kwahio sio Messi tu hicho ni Kipimo SI Unit ambayo mpaka leo hakuna hata aliyeinusa.....
 
Kwani kuna mtu anabisha? Mesi mwenyewe anamkubali Pele halafu anatokea mtu huko Kagongwa anabishana na sisi
 
Hii hakuna footage yake lakini imekuwa re-enacted unajua tena teknolojia ilikuwa sio kama leo...

Pele alipokea basi akapiga kanzu beki wa kwanza, wa pili wa tatu na kipa nae akapigwa kanzu alafu akamalizia kwa kichwa...

 
-Alfredo Di Stefano: "The best player ever? Pele. Messi and Cristiano Ronaldo are both great players with specific qualities, but Pele was better."

-Osvaldo Ardiles: Pele really had everything -- goalscoring ability, a great passer, good in the air, quick, he used both feet, almost the perfect footballer. Many words have been written about Pele but his record speaks for itself --more than 1,000 goals and three World Cup victories. He also played at a time when attacking players were not protected by referees as much as they are today.

-Johan Cruyff: "Pele was the only footballer who surpassed the boundaries of logic."

-Eusebio: "Pele played in an era which had so many great players and in that atmosphere he stood out above the others. He was the complete player in every aspect as well as being a kind human being. Cristiano Ronaldo is young yet, and has many years ahead of himself. But as of now, I do not see anyone who can compare with Pele"

-Bobby Moore: "Pele was the most complete player I've ever seen, he had everything. Two good feet. Magic in the air. Quick. Powerful. Could beat people with skill. Could outrun people. Only 5ft 8in tall, yet he seemed a giant of an athlete on the pitch. Perfect balance and impossible vision. He was the greatest because he could do anything and everything on a football pitch. I remember Saldhana the coach being asked by a Brazilian journalist who was the best goalkeeper in his squad. He said Pele. The man could play in any position."

-Ferenc Puskas: "The greatest player in history was Di Stefano. I refuse to classify Pele as a player. He was above that."

-Sir Alex Ferguson: "Question: Best player you ever saw? -AF: Pelé, di Stefano, Maradona, Cruyff. -Q:In that order? -AF: Yes, I think so."

-Romario: "Messi has all the conditions to be the best, but first he has to beat Maradona, Romario and then eventually Pele."

-Costa Pereira: "I arrived hoping to stop a great man, but I went away convinced I had been undone by someone who was not born on the same planet as the rest of us."

-Michel Platini: "There's Pele the man, and then Pele the player. And to play like Pele is to play like God."

-Sir Bobby Charlton: "I sometimes feel as though football was invented for this magical player."

-Tostao: "Pele was the greatest -- he was simply flawless. And off the pitch he is always smiling and upbeat. You never see him bad-tempered. He loves being Pele."

-Zico: "This debate about the player of the century is absurd. There's only one possible answer: Pele. He's the greatest player of all time, and by some distance I might add."

-Franz Beckenbauer: "Pele is the greatest player of all time. He reigned supreme for 20 years. All the others - Diego Maradona, Johan Cruyff, Michel Platini - rank beneath him. There's no one to compare with Pele." -

-Tarcisio Burgnich: "Before the match, I told myself that Pele was just flesh and bones like the rest of us. Later I realised I'd been wrong."

-Cesar Luis Menotti: "The best of all was Pele, who is a mixture of Di Stefano, Maradona, Cruyff and Leo Messi."

-Cesar Luis Menotti: "It's ugly to compare but the greatest was Pele. If we believe that God made man, the "black" Pelé he made him perfect. He gave him everything. He lacked nothing, header, physical power, dribbling, finishing, inspiration, genius, temper, vision, goal. Everything."¨

-Gianni Rivera: "However, I do think there's someone who was even better(than Messi) and that's Pele. He used both feet on the pitch. He was as dangerous with his right as he was with his left. He was strong in the air as well, and created a lot of chances."

-Hugo Gatti: "Pelé had the skin of a player, head, pace, everything. He was a panther dressed in white, I played with him. He entered to play in the last minute and he could turn the match. And the big difference is that Pelé on the field created fear, Maradona not...For me, it is Pelé, Alfredo Di Stefano and Maradona, in that order. I appreciate Diego, he is a great player. But from another planet was Pelé, not him."

-Teófilo Cubillas: "I confronted him several times on the pitch and I think there will be noone like him."

-Mario Zagallo: "Pele represented everything in soccer because of what he has done on the pitch."

-Cristiano Ronaldo: "Pele is the greatest player in football history, and there would only be one Pele in the world."

-Geoffrey Green: "Di Stefano was manufactured on earth, Pele was made in heaven."
 
Pele akiwasarambatisha Juventus nyumbani kwao Italy (Juventus Vs Santos)

Inasikitisha Sana more than 70% ya Career ya huyu Bwana haikuwa Recorded

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…