NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Kilema angechezaje na wababe wale.Unadhani Messi angezaliwa miaka ya Pele angecheza ? Au hata timu kubwa zingemnunua ?
Hii video imemaliza ubishi, Pele alikua ufunuo wa football kafanya kila kituWe Shall Never See the likes of You Again........ RIP
Angalia Tricks ambazo watu tofauti wanafanya sasa Kipindi Kile alifanya....
Kwenye ufupi labdaMesi ni zaidi ya Pele.
Sema Pele atabaki kuwa Legend wa MIAKA Yoote.
Ila kiukweli Mesi ni Bora kuliko Pele.
Huna akiliMesi ni zaidi ya Pele.
Sema Pele atabaki kuwa Legend wa MIAKA Yoote.
Ila kiukweli Mesi ni Bora kuliko Pele.