Vituko duniani

Manyonyo yanafaa sana kwa kuyafanya mto, yaani ukilalia hapo, huwezi kuamka shingo inauma[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] hiyo itakua maeneo ya njombe au makambako
Then AC nyingi siku zinatumika siku hizi ni split-type, zamani ilikuwa ukihitaji joto unachange tu kwenye AC umapata joto. Lakini hizi split-type ni kutoa baridi tu, so jamaa akaona bora atumie akili ya kuzaliwa, heater haziingiza ndani ili apate joto. Sipati picha hizo kelele zake[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Mmasai na changu :
Mmasai. Nani nalipa hela ya sumba ?
Changu : wewe !!
Mmasai nani nalipa wewe ?
Changu : wewe !!
Mmasai : sasa kwa nini wewe nayumbisa yumbisa hiyo kiwino ?[emoji16][emoji16] !!
[emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…