Duuhh..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahah hii poa Sana,[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukichakua halaf unameza.Angalia kuna kitanda pembeni....
Ukipita kwenye page za wanaija usome comment ni vituko tupu.Wanaijeria wanavituko balaaa
Hata mimi nashangaa sikupata ili wazo kumuuliza mshanaMkuu v2 kama hivi uweke na namba ya simu[emoji15] [emoji15]
hahahahaa
Huo mferejiHuu ndio mfereji matako ulio kule zenji??