Mshana angalia uendako utajikwaa kaka.
Hahaha.. Haya mambo ya viwanda hayatatuacha salama
Hawa watapoona kweli? Nani atawaatamia? Umeandaa incubator au?
Kaa show room vile? Hapo kama ni sebure wanapumuaje?
Creativity ya mwaka. Inapendeza.
Pamoja na kuwa makanika anashindwa kununua kufuri kweli? Hapo harufu inayotoka huko ni bomu.
Naona Mh ana dukukaa [emoji23][emoji23]
Hahahaaa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125] View attachment 714418