Vituko kama hivi huvipati popote zaidi ya Bongo land[emoji1][emoji1]

Vituko kama hivi huvipati popote zaidi ya Bongo land[emoji1][emoji1]

Antennah

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2015
Posts
6,754
Reaction score
8,750
Watanzania na tamaduni zetu za asili........ [emoji16][emoji16]
Screenshot_20180424-165615.jpg
 
Mimi wezi wananipenda sana aise...Hii nilitumiwa wiki iliyopita hata sikushughulika nayo kabisa. Ila ya kusave namba kanipata. Nchi yetu ya Vi- wonder aisewView attachment 755634
hyo ya kusave namba ndo ipojee[emoji28][emoji28]....

Daah nyie watu niwazembe kwa kweli![emoji1]
 
Yaan mie ikikosea mpesa fasta namrushia mwingine akaitoe haraka kabla voda hawajafanya yao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
itatoke ww ndo umemrushia mtu afu akatoa fasta ndo utajua utamu wake
 
unadhani unamtumia mama mkwe kumbe unamtumia mshakaji kiulaini tu[emoji41]
 
Back
Top Bottom